Перейти к содержимому

Exclusive Mzee aliyechimba dhahabu zaidi ya miaka 30 aeleza yanayofanyika migodini

Daily News Digital

0:00 / 0:00

Exclusive Mzee aliyechimba dhahabu zaidi ya miaka 30 aeleza yanayofanyika migodini

15 279 просмотров · 5 лет назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
15 279 просмотров · 5 лет назад
#Geita #Mgodini #Uchimbaji Kutana na mzee Saidi Liumba mchimbaji mdogo aliyeacha kazi ya upolisi na kuamua kuanza kuchimba dhahabu kwenye mgodi wa Nyaruguso mkoani Geita kwa takribani miaka 30 akiweka wazi mambo aliyokutana nayo akiwa mgodini kwenye kipindi chote alichodumu kuchimba madini