Перейти к содержимому

SHUKRANI YA MAVUNO 2027 ITAKUWA DEKANIA YA SANU | UJUMBE WA MHASHAMU ASKOFU ANTHONY LAGWEN MBUGWE

RADIO HABARI NJEMA

0:00 / 0:00

SHUKRANI YA MAVUNO 2027 ITAKUWA DEKANIA YA SANU | UJUMBE WA MHASHAMU ASKOFU ANTHONY LAGWEN MBUGWE

345 просмотров · 21 ч назад
RADIO HABARI NJEMA
4,77 тыс. подписчиков
345 просмотров · 21 ч назад
SHUKRANI YA MAVUNO YA JIMBO KATOLIKI LA MBULU 2026 | UJUMBE WA MHASHAMU ASKOFU ANTHONY LAGWEN Mhashamu Anthony Lagwen, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbulu, ametoa shukrani za dhati kwa waamini wote wa Jimbo kwa moyo wao wa kujitoa na majitoleo yao yaliyowezesha kufikiwa kwa malengo yaliyopangwa kwa asilimia 100 katika Shukrani ya Mavuno ya Jimbo kwa mwaka 2026. Aidha, Mhashamu Askofu amewashukuru mapadre na maadekano kwa juhudi zao za kuhamasisha waamini, kuwaongoza na kuwahimiza kushiriki kikamilifu katika kufanikisha malengo hayo. Shukrani hizi ni ishara ya kutambua umuhimu wa umoja, ushirikiano na moyo wa kujitoa katika kulijenga na kuliendeleza Kanisa. Kwa pamoja, waamini wameonesha kuwa mshikamano na ushirikiano ni nguzo muhimu katika kufanikisha malengo ya Jimbo. 🙏 Hongereni waamini wote wa Jimbo Katoliki la Mbulu kwa majitoleo yenu. Mungu awabariki kwa moyo wenu wa kujitoa na kuendelea kulitumikia Kanisa lake. 📹 Tazama ujumbe kamili wa shukrani kutoka kwa Mhashamu Askofu Anthony Lagwen.