MJAMZITO ANAIBA MALI ZA MAREHEMU BILA KUJUA NDIO URITHI WAKE.
Evvy Movies и Evvy Stories
0:00 / 0:00
MJAMZITO ANAIBA MALI ZA MAREHEMU BILA KUJUA NDIO URITHI WAKE.
1 877 просмотров · 1 день назад
Evvy Movies и Evvy Stories
1 877 просмотров · 1 день назад
Evvy Movies inakuletea movie yenye stori ya miaka 1900' kipindi ambacho nchi ya Nigeria ilikua ikipitia kipindi kizito na kigumu sana cha mabadiliko ya kiuchumi. Katika kipindi hiko, serikali ya nchi hiyo ilitoa agizo kwa wananchi wote kubadili noti zao za zamani na kuchukua noti mpya kutoka Benki.
Kutokana na mchakato huo, wakaibuka matapeli ambao walikua wakisambaza noti feki kwa wananchi. Na hapo ndipo alipoibuka jamaa aliyefahamika kwa jina la BOMA.
Boma alibahatika kupata mwanamke mrembo aliyejulikana kwa jina la CHISOM, ambaye kazi yake ilikua ni Uhasibu. Na kwa kipindi hiko, wahasibu ndio waliokua wanajukumu la kuhesabu na noti na kuzipeleka benki.
Pata picha, Mke ni Muhasibu na Mume ni Tapeli. Uhusiano huu unapelekea Chisom agundue siri kubwa kuhusu familia na asili yake.
Fuatilia kisa hiki kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kuna mengi ya kusisimua. Enjoy.
Jina la movie: Love and the new notes.
Mwaka: 2026.
Nchi: Nigeria | Nollywood.
Maudhui: Love & Romance | Drama | Family | Thriller.
Wahusika wakuu: Timini Egbuson & Sophia Alakija.
---- ----- --- ----- ----
📲 Follow:
Instagram: / evvy.official
Tiktok: / evvy.official
Facebook: / evvykelly.official
⭐ Kwa simulizi, makala, habari na hadithi tufuatilie kupitia @EvvyStories
⚠️DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.
If you feel your copyrights are violated, let us know via evvycreatives@gmail.com
#️⃣
#evvymovies #love #lovestory #lovemovie #drama #dramamovie #tanzania #nigeria #latestmovie #netflix #movie #movies #muvi #tamthilia #filamu #family #thriller #latestmovie2026 #2026 #muvi #imetafsiriwakwakiswahili #kiswahili #love #drama #e7bits #series #nollywood #recap #swahilirecap
Evvy Movies 2026, All copyrights reserved.