Перейти к содержимому

Rama lo _-_ Mwanga kaburini ( Music Visualizer )

R4m4 Lo

0:00 / 0:00

Rama lo _-_ Mwanga kaburini ( Music Visualizer )

307 просмотров · 5 месяцев назад
R4m4 Lo
345 подписчиков
307 просмотров · 5 месяцев назад
“Mwanga Kaburini” ni simulizi ya maisha, maumivu na ukweli wa siku tutakayoondoka duniani. Ngoma inaongelea toba, hofu, matumaini na mwanga tunaouhitaji mwisho wa safari yetu. Safari ya mwanadamu ina mwisho. “Mwanga Kaburini” ni ujumbe wa kutukumbusha kuwa mali, sifa na maisha yote yataisha — kitakachobaki ni matendo yetu na mwanga wa roho. Watu hutoweka, majina hubaki kwenye mawe. “Mwanga Kaburini” ni sauti ya mtaa inayogusa maisha baada ya pumzi ya mwisho. Written 'n' performed by : Rama lo produced, mixing 'n' mastering by : prod viva & viper6