Перейти к содержимому

Lucky melody-Bado(official audio)

Luckymelodies

0:00 / 0:00

Lucky melody-Bado(official audio)

1 071 просмотр · 3 г. назад
Luckymelodies
364 подписчика
1 071 просмотр · 3 г. назад
Nipende kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwaajiri ya kila alichokifanya kwenye maisha yangu kwani yeye ndiye amekuwa msaada kwenye maisha yangu, mpaka leo hii tarehe moja kuweza kuitoa nyimbo hii kama nyimbo yangu ya kwanza kwenye chanel yangu , namwamini sanaa Mungu atafanya makubwa mno kwani nilikotokea ni mbali mno siwezi elezea. Pia nyimbo hii inebeba jumbe kubwa mno kwa mtu atakae isikiliza kwa kumanisha kwani kwenye maisha kuna mengi tunapitia lakini BADO MUNGU YUPO NASI Na hatuwezi kukata tamaa kwa kuwa Msaada wake Mungu uko nasi siku zote . Chukua mda wako umtafakari Muumba wako na utagundua hakuna hata sec ambayo alikuacha ndipo utamshukuru Mungu kwa matendo yake makubwa . Mungu akubariki sanaaa sanaa🙏🙏🙏🙏