FURSA KUBWA! EFTA WATOA MIKOPO YA MATREKTA, POWER TILLER NA MAGUTA | DHAMANA NI LENGO TU! WAPO NA...
Dodoma Tv
0:00 / 0:00
FURSA KUBWA! EFTA WATOA MIKOPO YA MATREKTA, POWER TILLER NA MAGUTA | DHAMANA NI LENGO TU! WAPO NA...
9 641 просмотр · 1 месяц назад
Dodoma Tv
30,6 тыс. подписчиков
9 641 просмотр · 1 месяц назад
#dodomafmradio #Breaking #News #Habarifupi #DodomaTV #Habari #Tanzania #News #Dodoma #Live #BreakingNews #Shorts
MENEJA WA KANDA YA KATI WA EFTA AFUNGUKA KUHUSU HUDUMA ZAO | AWAKARIBISHA WANANCHI NANENANE DODOMA 2026
Meneja wa Kanda ya Kati wa EFTA Equipment Loans, Bw. Abrahamu Aisela, amefafanua huduma mbalimbali zinazotolewa na EFTA kwa wananchi, wafanyabiashara na taasisi zinazohitaji mikopo ya vifaa kwa ajili ya kukuza shughuli zao za kiuchumi.
Aidha, Bw. Aisela amewahimiza wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani kutembelea banda la EFTA katika Maonesho ya Nanenane 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Jiji la Dodoma, ili kupata huduma, ushauri na maelezo ya moja kwa moja kutoka kwa wataalamu wa EFTA.
📍 Mahali: Viwanja vya Nanenane, Nzuguni – Dodoma
🎥 Coverage: Dodoma FM 98.4
Hashtags:
#EFTA #EquipmentLoans #Nanenane2026 #Dodoma #DodomaFM #Kilimo #Biashara #Mikopo #Tanzania #NanenaneDodoma
WATCH DODOMA TV📺
STAR TIMES - 113 || DODOMA CABLE 102 || MANENO CABLE - 18
Copyright © 2022 Dodoma Media Group. All Rights Reserved.