Kutoka Afrika Kusini hadi Dabi ya Kariakoo, Timu zijitendee haki kumalizia nafasi.
Azam TV
0:00 / 0:00
Kutoka Afrika Kusini hadi Dabi ya Kariakoo, Timu zijitendee haki kumalizia nafasi.
4 903 просмотра · 21 час назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
4 903 просмотра · 21 час назад
VIWANJANI | Wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke, Godlisten Muro na Jabir Aziz wamesema klabu zetu hazijitendei haki katika kutumia vyema nafasi wanazozitengeneza wakati wa michezo.
Mbwaduke amesema pamoja na kukosoa timu kushindwa kuzitumia nafasi inazotengeneza ni muhimu pia kuwatambua na kuwapongeza magolikipa wa timu pinzani kwa kufanya kazi yao kwa ufanisi.Azam TV