JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE katika simulizi hii nzuri.
MAFIA ONLINE TV
0:00 / 0:00
JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE katika simulizi hii nzuri.
665 просмотров · 8 дней назад
MAFIA ONLINE TV
352 подписчика
665 просмотров · 8 дней назад
Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya
: 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈
Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kuimarisha miundombinu ya usafiri na kuchochea shughuli za kiuchumi nchini.
Mradi huo unahusisha ujenzi wa jengo la abiria, maegesho ya ndege, njia za kuruka na kutua ndege, mnara wa kuongozea ndege, mfumo wa taa za kuongozea ndege wakati wa usiku pamoja na barabara za kuingia na kutoka katika uwanja huo.
Ungana na Ben Mwanantala katika simulizi hii nzuri.
Tazama kipande hiki cha Video**JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE
Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67.
: 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈
Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kuimarisha miundombinu ya usafiri na kuchochea shughuli za kiuchumi. nchini.
Mradi huo unahusisha ujenzi wa jengo la abiria, maegesho ya ndege, njia za kuruka na kutua ndege, mnara wa kuongozea ndege, mfumo wa taa za kuongozea ndege wakati wa usiku pamoja na barabara za kuingia na kutoka katika uwanja huo.
Ungana na Ben Mwanantala katika simulizi hii nzuri.
Tazama kipande hiki cha Video