Перейти к содержимому

CHIEF GODLOVE AFUNGUKA SIRI NZITO AWEKA WAZI CHANZO CHA KULIA,HELA ZA SHETANI,NILILIA KWELI,NIOKOENI

MABENA TV

0:00 / 0:00

CHIEF GODLOVE AFUNGUKA SIRI NZITO AWEKA WAZI CHANZO CHA KULIA,HELA ZA SHETANI,NILILIA KWELI,NIOKOENI

8 646 просмотров · 5 дней назад
MABENA TV
112 тыс. подписчиков
8 646 просмотров · 5 дней назад
#chiefgodlove #siri #dunia Godlove Mwakibete maarufu kwa jina la Chief Godlove amesema video aliyorekodi akilia Tiktok Live kuhusu makosa aliyoyafanya ya kuungana na mtandao wa kishetani kwa tamaa za pesa, imemletea matatizo kiasi cha kuitwa Nigeria na kupokea onyo ya mwisho akidai ametoa siri za kundi hilo. Chief Godlove amesema chanzo cha yeye kuingia kwenye mtandao huo wa kishetani, ni malezi aliyoyapitia akiwa na baba yake ambaye ni mchungaji, kwamba hakuwahi kupitia maisha ya raha, waliazima mboga kwa jirani, walikula chumvi kwa ugali na vinginevyo. Ameomba watu wasiendelee kumhoji juu ya suala hilo kwani linamuweka kwenye hatari zaidi kulingana na onyo aliyopewa.