KIBURI NA MAJIVUNO HUTANGULIA MAANGUKO. (YAKOBO 4:6)
AP Jean Luc Shimbeko
0:00 / 0:00
KIBURI NA MAJIVUNO HUTANGULIA MAANGUKO. (YAKOBO 4:6)
33 просмотра · 11 дн. назад
AP Jean Luc Shimbeko
2 подписчика
33 просмотра · 11 дн. назад
Kiburi ni kujiona unathamani kubwa kuliko wengi na mara nyingi huambatana na dharau na majivuno kuwaona wengine hawastahili isipokuwa wewe, shetani huwatega wengi kwenye eneo la kiburi ili kuwaangusha, hili ni ombi langu Mungu akupe unyenyekevu ujue kile unastahili na kuzijua nyakati zinazokuja kwenye maisha yako.
Mungu akubariki usisahau kushare ujumbe huu na watu wengine na Mungu akubariki.