JINA LA YESU - KWAYA KUU KKKT MACHIMBO
Kwaya Kuu Machimbo
0:00 / 0:00
JINA LA YESU - KWAYA KUU KKKT MACHIMBO
360 просмотров · 7 дней назад
Kwaya Kuu Machimbo
69 подписчиков
360 просмотров · 7 дней назад
Jina la Yesu, Salamu!!
All Hail the Power of Jesus' Name
Mtunzi wa maneno: Edward Perronet
Mtunzi wa sauti: J. Elor
Mwaka uliotambulishwa: 1779
Umepangwa tena na Mwl. Celestine Kapama, mwaka 2022
Unapatikana kwenye kitabu cha Tumwimbie Mungu Wetu (wimbo namba 401)
Karibu kushiriki na waimbaji kulitukuza Jina Kuu kuliko majina yote..!!