MWALIMU WANGU
KWAYA YA MT.YOHANE PAULO II - MIVUMONI
0:00 / 0:00
MWALIMU WANGU
3 743 просмотра · 3 года назад
KWAYA YA MT.YOHANE PAULO II - MIVUMONI
453 подписчика
3 743 просмотра · 3 года назад
Karibuni tena wapendwa katika kuisikiliza Nyimbo hii Yenye Mafundisho & Ujumbe mzuri;
Ni moja kati ya nyimbo zilizoimbwa na kwaya ya Mt.YOHANE PAULO WA PILI kutoka PAROKIA YA MT.MARIA DE MATTIAS. MIVUMONI JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM.
Natumaini nyote mtabarikiwa na jumbe zilizopo katika wimbo huu na usisahau kusubscribe channel yetu hii pamoja na kulike ili usipitwe na nyimbo ambazo bado tunazidi kuziupload hivi punde .. ASANTENI SANA NA MUNGU AWANARIKI NYOTE