Перейти к содержимому

Bumbuli yapatiwa vifaa vya kisasa lengo likiwa kuimarisha huduma katika hospitali hiyo.

KKKT DKMS Online TV

0:00 / 0:00

Bumbuli yapatiwa vifaa vya kisasa lengo likiwa kuimarisha huduma katika hospitali hiyo.

285 просмотров · 1 год назад
KKKT DKMS Online TV
9,47 тыс. подписчиков
285 просмотров · 1 год назад
Hospitali ya Bumbuli Lutheran Hospital, inayomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (DKMs) imepokea vifaa vya kisasa na hapa Mkurugenzi wa Huduma za Jamii KKKT-DKMs Mwl.Afizai Vuliva, Dkt. Frank Lugaenda ambaye ni daktari Mfawidhi Wa Bumbuli Lutheran Hospital na Herman Mdamanyi- Mtaalamu Wa Dawa ya usingizi wanazungumza mara baada ya kupokea vifaa hivyo.