TAARIFA YA KAMATI YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IKIWASILISHWA BUNGENI NA MHE. DKT. KIKOYO (2/9/2026)
Carlin Kikoyo и Hon. Dr. Oscar Kikoyo
0:00 / 0:00
TAARIFA YA KAMATI YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IKIWASILISHWA BUNGENI NA MHE. DKT. KIKOYO (2/9/2026)
45 просмотров · 12 дней назад
Carlin Kikoyo и Hon. Dr. Oscar Kikoyo
45 просмотров · 12 дней назад
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayewakilisha jimbo la Muleba Kusini wilayani Muleba mkoani Kagera na mwanakamati wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria; Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo (Mb) @Dr.Oscar_Kikoyo akiwasilisha taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kwenye Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkutano wa 4, Kikao cha 6 tarehe 02.09.2026 kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo na wajumbe wote (wanakamati) wa kamati hiyo.
Taarifa hiyo imebeba mapendekezo ya kamati kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania kwa niaba ya serikali kuu juu ya maboresho ya sheria mbalimbali nchini ili kulinda maslahi ya wananchi wa Tanzania!