Перейти к содержимому

PRAISE&WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI MJINI (🎼UMETAMALAKI & NITAMWIMBIA & BWANA WA MABWANA)27/4/025

EL-SHADAI CHOIR FPCT MAJENGO MOSHI MJINI

0:00 / 0:00

PRAISE&WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI MJINI (🎼UMETAMALAKI & NITAMWIMBIA & BWANA WA MABWANA)27/4/025

272 просмотра · 1 г. назад
EL-SHADAI CHOIR FPCT MAJENGO MOSHI MJINI
2,88 тыс. подписчиков
272 просмотра · 1 г. назад
Zaburi 99:1-4 SUV. BWANA ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika. BWANA katika Sayuni ni mkuu, Naye ametukuka juu ya mataifa yote. Na walishukuru jina lake kuu la kuhofiwa; Ndiye mtakatifu. Nguvu za mfalme nazo zapenda hukumu; Wewe ndiwe uliyeithibitisha adili; Ulifanya hukumu na haki katika Yakobo.