Перейти к содержимому

Ngeli ya U-ZI

SwahiliwithMariana

0:00 / 0:00

Ngeli ya U-ZI

31 229 просмотров · 5 лет назад
SwahiliwithMariana
15 тыс. подписчиков
31 229 просмотров · 5 лет назад
Nomino katika ngeli hii huanza kwa U au Wa katika umoja. Aghalabu sauti U huondolewa ili kuunda wingi wa nomino. Katika wingi, kuna nomino ambazo huchukua viambishi ny-, nd-, mb-, nj-, na ng- U Ukuta-Kuta Ufunguo-Funguo Ufizi-Fizi Ukuni-Kuni Ukucha-Kucha W-NY Wavu-nyavu Waya-Nyaya Wadhifa-Nyadhifa Waraka-Nyaraka U-Ny Uzi-Nyuzi Ua-Nyua Ufa-Nyufa Uga-Nyuga U-Nd Ulimi-Ndimi Udevu-Ndevu Tazama ngeli tofauti tofauti Ngeli ya Ya-Ya    • Ngeli ya Ya-Ya   Ngeli ya I-Zi    • Ngeli ya I-Zi   Ngeli ya U-I    • Ngeli ya U-I