Перейти к содержимому

Saida Karoli Aeleza Alivyosota Baada ya Kufulia Kimuziki na Kuishi Kama Digidigi

Global TV Online

0:00 / 0:00

Saida Karoli Aeleza Alivyosota Baada ya Kufulia Kimuziki na Kuishi Kama Digidigi

79 074 просмотра · 9 лет назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
79 074 просмотра · 9 лет назад
Saida Karoli is back! Baada ya kusota kwa muda mrefu, hatimaye mkali wa ngoma ya Chambua Kama Karanga, Saida Karoli amerejea kwenye gemu baada ya kuachia ngoma yake mpya ya O'rugambo. Mbali na kuzindua wimbo huo, Saida Karoli pia amefuturisha ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa Tanzania, sambamba na waandishi wa habari, walijumuika kwenye futari hiyo.    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   Saida akaitumia nafasi hiyo kuwaeleza mashabiki zake, wasanii wenzake na waandishi wa habari jinsi alivyosota kimaisha, baada ya kufulia kimuziki, hali iliyosababisha aishi maisha magumu sana. Saida Karoli ameeleza jinsi alivyokuwa akiishi kwa kujificha, akiogopa waandishi wa habari wasije wakamuona kutokana na maisha duni aliyokuwa akiishi. "Nimeishi katika maisha magumu sana, kuna wakati nilienda kujichimbia Mbeya Vijijini na ndiyo kipindi hocho nilizushiwa kwamba nimekufa, nakumbuka waandishi wa habari walinifuata mpaka huko kijijini kabisa. "Kwa kweli nawashukuru sana na nawaomba mnipe ushirikiano tena." Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1