'Bei ya mafuta haitashuka hata vita vikiisha'
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
'Bei ya mafuta haitashuka hata vita vikiisha'
8 844 просмотра · 11 часов назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
8 844 просмотра · 11 часов назад
Mchambuzi wa siasa za kimataifa, Ibrahim Rahby amesema bei ya mafuta duniani huenda ikaendelea kuwa juu hata baada ya vita kati ya Marekani na Iran kumalizika, kutokana na uharibifu wa miundombinu muhimu unaosababishwa na mapigano hayo.
Rahby amesema kurejesha miundombinu hiyo kutahitaji gharama kubwa, jambo linaloweza kuongeza mahitaji ya fedha na kuathiri mwenendo wa bei ya mafuta duniani.