Перейти к содержимому

YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU: Somo la 5 (Julai 25 - 27)

Maarifa Mtandaoni

0:00 / 0:00

YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU: Somo la 5 (Julai 25 - 27)

152 просмотра · 1 месяц назад
Maarifa Mtandaoni
51 подписчик
152 просмотра · 1 месяц назад
Karibu katika tafakari ya Somo la 5, "YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU" (25-27 Julai), tukichunguza dhabihu ya Kristo na upendo Wake. Jifunze kuhusu mabadiliko ya moyo, utii wa upendo, na umuhimu wa kuakisi tabia ya Kristo maishani. Vipengele Muhimu: Sabato: Ukombozi kupitia msalaba. Jumapili: Usawa wa neema na sheria. Jumatatu: Upendo usio na ubinafsi.Usisahau kusubscribe, kulike, na kushiriki ili kubarikiwa na masomo haya.