War on Al shabaab follow up
KTN News Kenya
0:00 / 0:00
War on Al shabaab follow up
720 843 просмотра · 14 лет назад
KTN News Kenya
3,43 млн подписчиков
720 843 просмотра · 14 лет назад
Mji wa Burahache nchini Somalia, umekuwa na amani tangu kuwasili kwa wanajeshi wa Kenya, waliowaongezea nguvu wanajeshi wa serikali ya mpito ya somalia, TFG. Hii ni katika harakati ya kuwaondoa wanamgambo wa Al-shabaab. Frank Otieno yuko na kikosi cha Kenya katika kanda ya kaskazini- kunakoendelezwa opresheni ya linda ya nchi. Na leo alipata fursa ya kumhoji mfuasi mmoja wa Al-shabaab aliyeasi kundi hilo.