SEMINA YA VIJANA KUHUSU KUJITAMBUA
Daughters Sons of Jerusalem
0:00 / 0:00
SEMINA YA VIJANA KUHUSU KUJITAMBUA
1 036 просмотров · 3 года назад
Daughters Sons of Jerusalem
1,53 тыс. подписчиков
1 036 просмотров · 3 года назад
Je mimi ni nani?
Ninatamani kuwa nani?
Kwa nini natamani kuwa huyo?
Haya ni baadhi ya maswali anayojiuliza kijana anapokuwa ktk mchakato wa kujitambua
Semina hii ililenga kumsaidia kijana aweze kupata majibu ya msingi ktk maisha ya kijana.
Shalom SHALOM