Nikumbuke official Gospel music Video. By Bish. Living Mwambapa, Pentekoste maombi na maombezi.
UPONYAJI CHOIR
0:00 / 0:00
Nikumbuke official Gospel music Video. By Bish. Living Mwambapa, Pentekoste maombi na maombezi.
5 735 просмотров · 1 год назад
UPONYAJI CHOIR
4,14 тыс. подписчиков
5 735 просмотров · 1 год назад
Wimbo Huu wa NIKUMBUKE una ujumbe wenye kutia Moyo. Mungu akukumbuke katika shida zako, akumbuke uzao wako, akukumbuke katika kazi yako, ayakumbuke maombi yako.
Unaweza kuwa umeomba mda mrefu hadi umekata tamaa, kupitia wimbo huu nakutia Moyo, usikate tamaa zidi kuomba Mungu hakika ipo siku moja atakukumbuka.
Unaweza kusoma Zaburi 25:7, Zaburi 106:4,
Mungu ni mwaminifu siku zote. Amen.
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii kwa jina la.
Facebook. Rutach tv
TikTok. Rutach.tv
Instagram. Rutach_tv
You tube. RUTACH TV
#gospel #gospelmusic