ABBY DANCER WA KILIMANJARO UKWELI KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHAKE Ropai Update
ROPAI Online TV
0:00 / 0:00
ABBY DANCER WA KILIMANJARO UKWELI KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHAKE Ropai Update
38 просмотров · 1 месяц назад
ROPAI Online TV
3,75 тыс. подписчиков
38 просмотров · 1 месяц назад
🕊️ *TAARIFA YA MSIBA | ABBY DANCER (KIKUNDI CHA PERFECT CHUMA) AFARIKI DUNIA*
Kwa masikitiko makubwa, tunakuletea taarifa ya kifo cha kijana maarufu **Abby Dancer (Perfect Chuma)**.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, tukio hilo limetokea majira ya saa 11 alfajiri katika eneo la *Red Stone**, alipokuwa akivuka barabara akitokea upande wa **Shant* kuelekea Red Stone. Inadaiwa kuwa aligongwa na magari matatu yaliyohusika katika ajali hiyo: **Coaster, Hiace na gari dogo**.
Baada ya ajali hiyo, alikimbizwa Hospitali ya Mawenzi kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya dharura, ambapo madaktari walithibitisha kuwa alikuwa amefariki dunia alipowasili hospitalini.
ROPAI UPDATE inatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu. Tunawaombea wote waliobaki nyuma wawe na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.
🕊️ *Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.*
*Usisahau:*
👍 Like
💬 Toa salamu za pole kwenye sehemu ya maoni.
🔔 Subscribe ROPAI UPDATE kwa habari na taarifa mbalimbali.
#AbbyDancer #PerfectChuma #MawenziHospital #Moshi #Kilimanjaro #Ajali #RIP #RopaiUpdate #HabariZaLeo #Tanzania