Rose Muhando - Utamu wa Yesu (live)
Gospel Kitaa
0:00 / 0:00
Rose Muhando - Utamu wa Yesu (live)
63 935 просмотров · 12 лет назад
Gospel Kitaa
17 тыс. подписчиков
63 935 просмотров · 12 лет назад
Utamu wa Yesu inapowasilishwa live, hakika utamu unakuwepo tofauti na inavyokuwa kwenye CD. Mtazame Rose akiimba wimbo huio kwenye yukumbi wa Diamond Jubilee wakati wa uzinduzi wa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu, iliyoandaliwa na kampuni ya Msama Promotions tarehe 3 Agosti 2014.