Перейти к содержимому

WALIKARIBISHA MGENI WASIEMJUA AKAFA NDANI YA NYUMBA | DOPAMIN

Swahiliflix Empire

0:00 / 0:00

WALIKARIBISHA MGENI WASIEMJUA AKAFA NDANI YA NYUMBA | DOPAMIN

67 245 просмотров · 4 месяца назад
Swahiliflix Empire
32,5 тыс. подписчиков
67 245 просмотров · 4 месяца назад
#DOPAMIN Wanandoa hawa walidhani wanamsaidia mtu wa kawaida tu… lakini usiku huo ukageuka kuwa mwanzo wa janga lisilotarajiwa. Mgeni waliyemkaribisha ghafla anafariki ndani ya nyumba yao baada ya kutumia madawa ya kulevya, na kuacha nyuma sanduku la pesa nyingi pamoja na siri nzito. Je, watachagua kuripoti tukio hili… au watajaribu kuficha ukweli? Na pesa hii ina uhusiano gani na kifo chake cha kutatanisha? Hii ni recap ya filamu ya kusisimua DOPAMIN, iliyojaa suspense, hofu, na maamuzi hatari yanayoweza kubadilisha maisha milele. 🔥 Kama unapenda movie recap za horror, thriller na mystery, hii ni lazima uangalie hadi mwisho!