Mlo Sahihi Kwa Wagonjwa wa Kisukari. Nimedhibiti kisukari kwa chakula bora. Mr. Nyasa asimulia.
Dr Boaz Mkumbo MD
0:00 / 0:00
Mlo Sahihi Kwa Wagonjwa wa Kisukari. Nimedhibiti kisukari kwa chakula bora. Mr. Nyasa asimulia.
19 549 просмотров · 6 л. назад
Dr Boaz Mkumbo MD
103 тыс. подписчиков
19 549 просмотров · 6 л. назад
Mr Nyasa aligundulika na ugonjwa wa kisukri tangu mwaka 2015 hali yake ikawa mbaya alidhoofika kiasi cha kukosa matumaini ya maisha, watu wanaomzunguka katika kijiji chake wakafikiri amepata maaambukizi ya UKIMWI kutokana na kudhoofika sana. Aliendelea kutumia mitishamba na dawa mbalimbali bila mafanikio
Mwaka 2019 Kupitia kwa rafiki yake akapata habari za Dr Boaz Mkumbo ndipo alipopata mawasiliano na kuanza kutekeleza programu ya #SAYANSI #YA #MAPISHI. Wakati anaanza kutekeleza programu sukari yake ilikua juu sana (High)
MATOKEO ALIYOYAPATA
1. Alifanikiwa kushusha sukari yake kutoka high mpaka sasa wastani wa 5mmol/L
2. Mwili wake umeimarika na amepata afya na anaimarika kila siku
Ushuhuda zaidi bonyeza link hapo chini
1. Bonyeza link kutazama https://www.youtube.com/watch?v=7klSo... Mlo Sahihi Kwa Wagonjwa wa Kisukari. Nimedhibiti kisukari kwa chakula bora. Mr. Nyasa asimulia
2. Bonyeza link kutazama https://www.youtube.com/watch?v=Ymtda... Nimepona Kisukari. Kutoka RBG 26 HADI 5mmol/l na HbA1C kutoka 12 hadi 4.7
3. Bonyeza link kutazama ushuhuda https://www.youtube.com/watch?v=riSH_... Nimepungua kilo 18 na nimepona Kisukari bila Kujinyima Kula
4. Bonyeza link kutazama ushuhuda https://www.youtube.com/watch?v=e0Zsh... SIMULIZI: Jinsi Nilivyopona Kisukari presha na Kushusha kilo 20 bila Kutumia dawa
5. Bonyeza link kutazama ushuhuda https://www.youtube.com/watch?v=4vP2u... Nilitaka Kukatwa Mguu kwa sababu ya Kisukari. Nimedhibiti Kisukari na Afya yangu imeimarika.
6. Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=R_Nfs... Kitabu hiki Kimenisaidia kwa Gharama ndogo sana kiafya Kuliko Njia zote nilizo jaribu kufanya
7. Bonyeza link kutazma ushuhuda https://www.youtube.com/watch?v=j-iWM... Nimepungua Uzito bila Mazoezi na bila kujinyima kula kwa kutumia sayansi ya mapishi
8. Bonyeza link kutazama https://www.youtube.com/watch?v=_eSXR... Ushuhuda:Nimepunguza Kilo 25 Bila kutumia Dawa 01
9. Bonyeza link kutazama ushuhuda huu https://www.youtube.com/watch?v=TM-_H... Ushuhuda:Nimepunguza Kilo 25 Bila kutumia Dawa 02
10. Bonyeza link kutazama ushuhuda https://www.youtube.com/watch?v=4pulg... Nimepungua kilo 25 bila kutumia Dawa No 3