Перейти к содержимому

HALELUYA_TUMAINI UDOM SDA CHOIR

TUMAINI UDOM SDA CHOIR

0:00 / 0:00

HALELUYA_TUMAINI UDOM SDA CHOIR

853 просмотра · 2 нед. назад
TUMAINI UDOM SDA CHOIR
217 подписчиков
853 просмотра · 2 нед. назад
Karibu kusikiliza wimbo wa HALELUYA Wimbo huu ni sifa kwa mwenyezi Mungu aliyezifanya mbingu na nchi. na unaletwa kwetu na kwaya ya TUMAINI UDOM SDA CHOIR. kwaya hii inapatikana katika kanisa la waadventista wasabato UDOM EAST TIBA lililoko ndani ya chuo kikuu cha Dodoma. Wimbo huu unaungana na mtunga zaburi katika Zaburi ya 150 anapoweka msisistizo katika kumsifu Mungu. sifa zake zinatokana na kuwa yeye ni mwanzo na mwisho, aliumba vitu vyote, aliacha enzi na kuja kutukomboa na wasanii wanasisistiza kuwa tutaimba hata na malaika tukifika mbinguni karibu sana kusikiliza wimbo HALELUYA Artist: TUMAINI UDOM SDA CHOIR Composer: Sir MUGANDA MAREGESI Harmony: Sir Perfect Kikiwa Audio production: ABJ-Mas Pro (255743537416) Video production: Glorist_Gn(255743966051) USISAHAU Kusubscribe Like Comment Share kwa marafiki