Drake vs Kendrick Lamar Siri ya Vita Iliyozaa “Not Like Us”
Tricod Media и ещё 2
0:00 / 0:00
Drake vs Kendrick Lamar Siri ya Vita Iliyozaa “Not Like Us”
3 128 просмотров · 9 дней назад
Tricod Media и ещё 2
3 128 просмотров · 9 дней назад
Drake vs Kendrick Lamar Siri ya Vita Iliyozaa “Not Like Us”
Je, unajua nini kilisababisha Drake vs Kendrick Lamar kuwa moja ya vita ya muziki mikubwa zaidi kuwahi kutokea?
Katika simulizi hii, tunarudi nyuma hadi mwaka 2011, wakati Kendrick Lamar alipofanya show yake ya kwanza jijini Toronto. Hapa ndipo urafiki wao ulipoanzia kabla ya mambo kuharibika na kugeuka kuwa ushindani mkali uliotikisa ulimwengu wa muziki. Tunachambua matukio muhimu yaliyopelekea msanii huyu kuachia ngoma iliyovunja rekodi ya Not Like Us.
Tunachunguza kwa kina kila hatua ya mgogoro huu, tukilinganisha na matukio mengine ya kihistoria katika historia ya hip hop. Lengo letu ni kukupa picha kamili ya jinsi urafiki ulivyogeuka kuwa uadui, na athari zake kwa wasanii hawa wawili na tasnia ya muziki kwa ujumla.
Jiunge nasi kwa kusubscribe ili kupata uchambuzi wa kila wiki kuhusu wasanii wakubwa, na tuambie kwenye maoni una maoni gani kuhusu nani alishinda vita hii.
#drake #kendrickLamar #new