Перейти к содержимому

NENO LA SIKU | Luka 5 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Kukata Tamaa | Isaac Javan

Neno La Siku

0:00 / 0:00

NENO LA SIKU | Luka 5 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Kukata Tamaa | Isaac Javan

4 026 просмотров · 2 года назад
Neno La Siku
11,4 тыс. подписчиков
4 026 просмотров · 2 года назад
Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya tano, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda roho ya kukata tamaa. Hii ni roho inayolenga kuwazuia watu wasiione ahadi ya Mungu kwenye maisha yao. Na watu wengi wanasumbuliwa na roho hii na hawajui kitu cha kufanya. Lakini katika maombi ya siku ya leo Mungu anaenda kutusaidia kuishinda. Nakuombea YESU akuonekanie katika maombi ya leo na akupe ushindi mkuu. Katika mambo yote mema uliyoyakatia tamaa, Mungu akupe nguvu mpya ya kusimama tena na kusonga mbele. Kama ulikata tamaa katika maombi, Roho Mtakatifu akutie nguvu mpya ili uweze kupata matokeo makubwa katika maombi yako. Damu ya YESU inene maneno mazuri na ikushindie katika maombi ya leo. Mungu akubariki sana. Amen! Isaac Javan +255 745 76 45 72