sabalkheri mpenzi -Sami haji dau & Asha Simai || za kale dhahabu || old taarab||old zanzibar
Zanzibar orchestra
0:00 / 0:00
sabalkheri mpenzi -Sami haji dau & Asha Simai || za kale dhahabu || old taarab||old zanzibar
44 172 просмотра · 2 года назад
Zanzibar orchestra
11,6 тыс. подписчиков
44 172 просмотра · 2 года назад
swahili taarab zanzibar tanzania african music swahili music
subalkheri mpenzi, rangi yako ya samawi
sabalkheri mpenzi waonaje hali yako
sabaha noori azizi hali yangu kama yako
wawaonaje wazazi nyumbani utokeako
usiingie simanzi sura yangu mali yako
na kuikosa haiwi sikia langu tamko
mwenginewe hachomozi nakupenda pekeyako
nimefanya uchunguzi nakiri maneno yako
naiona wazi wazi ishara ya pendo lako
milele nitakuenzi silitupi pendo lako
kibaya sivumbui ndani ya maumbo yako
na mimi simtambui mwenye sifa kama zako
rangi yako ya samawi kama sufi ngozi yako
na kuzikosa haiwi cheko na bashasha zako
wallahi sijichukuwi mgonjwa kwa raha zako
ukaidi siujui mimi maridhia kwako
mwenginewe hachomozi nakupenda pekeako
daima nitakuenzi silitupi pendo lako