LEO: UZINDUZI RASMI WA SERENGETI NATIONAL PARK GOLF COURSE
TANAPA DIGITAL
0:00 / 0:00
LEO: UZINDUZI RASMI WA SERENGETI NATIONAL PARK GOLF COURSE
513 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
TANAPA DIGITAL
484 подписчика
513 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
Leo, tarehe 18 Oktoba, macho ya dunia yanaelekezwa katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa hafla ya uzinduzi rasmi wa Serengeti National Park Golf Course.
Uwanja huu unaunganisha upekee wa mchezo wa gofu na mandhari ya kuvutia ya Serengeti, ukifungua ukurasa mpya katika kukuza utalii wa michezo nchini Tanzania, huku ukitangaza uzuri wa urithi wetu wa asili na umuhimu wa uhifadhi.