Перейти к содержимому

JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI | MULTIPURPOSE SOAP

Zamora Cosmetics Brands

0:00 / 0:00

JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI | MULTIPURPOSE SOAP

62 109 просмотров · 5 лет назад
Zamora Cosmetics Brands
62,1 тыс. подписчиков
62 109 просмотров · 5 лет назад
Jifunze Urembo inapenda kukuletea mambo ya ujasiliamali wa vitu mbalimbali kutoka Zamora Brands na leo hii nakuletea jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji ya kufulia , kuoshea vyombo pamoja na kudekia (Multipurpose Soap) Ungana na mimi mwanzo hadi mwisho na pia uanweze kutufuatilia kwenye page zetu zote mbili Instagram @zamora_brands na @jifunze_urembo