Перейти к содержимому

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING | 21 AUGUST 2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

0:00 / 0:00

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING | 21 AUGUST 2026

10 800 просмотров · Трансляция закончилась 3 недели назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
64,4 тыс. подписчиков
10 800 просмотров · Трансляция закончилась 3 недели назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING | 21 AUGUST 2026 UJUMBE WA LEO: MAMBO 5 AMBAYO MUNGU ANAYATUMIA KUMWINUA MTU (5 Things God Uses to Elevate a Person) LENGO LA SOMO 1. Kuimarisha mahusiano yako na Mungu kibinafsi 2. Kukusaidia kuinuka kutoka hapo ulipo na kwenda kwenye kiwango kingine cha maisha UTANGULIZI Mungu anapenda kuona watoto wake wanainuka kutoka nguvu kwenda nguvu, neema kwenda neema, uwezo kwenda uwezo, imani kwenda imani na utukufu kwenda utukufu “Huendelea kutoka nguvu hata nguvu; kila mmoja huonekana mbele za Mungu katika Sayuni.” Zaburi 84 : 7 Mambo 5 ambayo Mungu anayatumia kumwinua mtu 1. NURU Mungu, akitaka kumwinua mtu, anampa: Nuru 2. SPIDI / KASI Mungu humpatia mtu anapotaka kumwinua spidi/kasi 3. KIBALI Mungu akitaka kumwinua mtu anampa kibali Maisha ya mtu hayawezi kubadilika kama asipopata kibali. 4. Watu Mungu akitaka kukuinua anakuletea watu wa kukusaidia Na shetani akitaka usiinuke anazuia watu waliotumwa na Mungu wasikufikie 1 Wathesalonike 2 : 18 Warumi 15 : 22 Ni aina gani ya watu ambao Mungu anakupa wakati wa kutaka kukuinua? 1. Watu wanaokuja kukusaidia kwa wakati 2 Nyakati 4 : 1 - 7 Zaburi 46 : 1 2. Watu wasiochoka kukusaidia 1 Nyakati 12 : 22 Ruthu 1 : 16 3. Watu wa kukuunganisha na watu 2 Wafalme 5 : 4 1 Samweli 16 : 18 - 19 4. Watu wanaoshurutishwa Ezra 1 : 5 Esta 6 : 1 - 3 5. Watu ambao hukutarajia Luka 7 : 11 - 15 Kutoka 2 : 15 - 19 UNAFANYAJE ILI KUPATA AINA YA HAWA WATU ? Unapaswa kuweka mkakati wa maombi Yakobo 4 : 1 - 2 Mhubiri: Davidney Kaale Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com