JINI LA KIJIJI EP 01 😱👹 | TAMAA ILIYOZAA MAUTI! 💀 | FILAMU YA KUTISHA
Kivaro Films
0:00 / 0:00
JINI LA KIJIJI EP 01 😱👹 | TAMAA ILIYOZAA MAUTI! 💀 | FILAMU YA KUTISHA
9 366 просмотров · 6 дн. назад
Kivaro Films
473 подписчика
9 366 просмотров · 6 дн. назад
👹💀 JINI LA KIJIJI — TAMAA ILIYOZAA MAUTI! 😱🔥
Kijiji cha wanaume pekee kiligeuka kuwa makaburi ya walio hai baada ya jini la kutisha kuanza kuwateka vijana waliolijaribu kwa tamaa ya mapenzi! 😈🩸 Hata mganga aliyekuja kuwaokoa hakuweza kujiokoa mwenyewe! Lakini swali ni moja… WALIOCHUKULIWA WAMEPELEKWA WAPI? 👹🌑
⚠️ FUNZO: Usikubali tamaa izime akili yako. Si kila unachokitamani kinafaa kukifuata, na kila uamuzi una matokeo yake. Jifunze kuwa mwangalifu kabla hujachelewa!
🎬 JINI LA KIJIJI — UKIINGIA KWENYE SIRI HII, HUENDA USITOKE! 😱🔥
👍 LIKE | 💬 COMMENT | 🔔 SUBSCRIBE | 📲 SHARE
#JiniLaKijiji #KivaroFilms #FilamuZaKutisha #BongoMovies