Kuwamo serikalini si neno, bali hoja tunafanya nini humo - OMO | GUMZO LA LEO
Gumzo la Ghassani
0:00 / 0:00
Kuwamo serikalini si neno, bali hoja tunafanya nini humo - OMO | GUMZO LA LEO
5 803 просмотра · 13 часов назад
Gumzo la Ghassani
45,1 тыс. подписчиков
5 803 просмотра · 13 часов назад
Kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, akizungumza na viongozi wa chama chake mkoa wa Dar es Salaam siku ya Alkhamis (8 Oktoba 2026).