Yprince TZ - Tena (official audio)
YPrince TZ
0:00 / 0:00
Yprince TZ - Tena (official audio)
14 006 просмотров · 1 год назад
YPrince TZ
369 тыс. подписчиков
14 006 просмотров · 1 год назад
Mapenzi yanaujinga mwingi sana
Licha ya kunichanganya
Leo tayari nimependa tena nimependa tena
Ashapendwa mtu huku
Na round hii mtajua nyie mnizike ama munsafirishe kananidanganya atajua ye na mungu wake
Nimependa tena
Nimependa tena
Anashapendwa mtu huku
Yeah
Na round hii mtajua nyie mnizike ama munsfirishe ka ananidanganya atajua ye na mungu wake nimependa tena nimependa tena
Ashapemdwa mtu uko
Kaikitokea ameniacha mimi ntabaki na nani
Wewe ukiondoka ntapendwa na nani mmh you kill me baby
Na ikitokea baby umeniacha mimi ntabaki na nani wewe ukiondoka ntapendwa na nani mmh you kill me baby
Niliachwa ,nikaachwa hadi nikajiacha nimependa tena nimependa leo tayari ashapendwa mtu huku