Перейти к содержимому

KONGAMANO MAALUM LA MAOMBI YA YABESI : BWANA NIBADILISHIE HUZUNI YANGU YA TOKA KUZALIWA

Minister Mocky

0:00 / 0:00

KONGAMANO MAALUM LA MAOMBI YA YABESI : BWANA NIBADILISHIE HUZUNI YANGU YA TOKA KUZALIWA

9 810 просмотров · Трансляция закончилась 2 г. назад
Minister Mocky
22 тыс. подписчиков
9 810 просмотров · Трансляция закончилась 2 г. назад
BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na kongamano siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada hii maalum ya KONGAMANO LA NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI inayokujia leo siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam. Kongamano hili maalum linaloitwa "MAOMBI YA YABESI" linashughulika na kufunguliwa vitu vinavyotumaliza kwa sababu vipo toka kuzaliwa na cha kwanza ni huzuni. Hili ni Kongamano la maombi la kuomba kama Yabesi alivyoomba ili MUNGU atujalie tunayomuomba na lina kichwa cha somo "BWANA NIBADILISHIE HUZUNI YANGU YA TOKA KUZALIWA NA UNIFANYIE NAFASI"' Kongamano hili inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.