Перейти к содержимому

SOMO: KWA NINI YESU ALIKUJA? YESU ALIKUJA KUPONYA ULIMWENGU

Keys of Christ Church

0:00 / 0:00

SOMO: KWA NINI YESU ALIKUJA? YESU ALIKUJA KUPONYA ULIMWENGU

21 просмотр · 1 г. назад
Keys of Christ Church
889 подписчиков
21 просмотр · 1 г. назад
KANISA LA KEYS JUMAPILI YA TAREHE 23 FEBRUARY 2025 MISTARI YA KUSIMAMIA SOMO 1 PETRO 2:24-25 24 Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa. 25 Kwa maana mlikuwa mnapotea kama kondoo; lakini sasa mmemrudia Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu. MATHAYO 4:23-25 23 Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu. 24 Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa hawawezi, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya. MATENDO YA MITUME 10:38 38 habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu naye akazunguka huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Ibilisi; kwa maana Mungu alikuwa pamoja naye.