Перейти к содержимому

Pasipo Makosa Mkombozi Wetu -Rev Fr Fintan | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Kwaresma/lent

Sauti Tamu

0:00 / 0:00

Pasipo Makosa Mkombozi Wetu -Rev Fr Fintan | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Kwaresma/lent

302 850 просмотров · 5 лет назад
Sauti Tamu
236 тыс. подписчиков
302 850 просмотров · 5 лет назад
wimbo wa Ijumaa Kuu _ Pasipo makosa mkombozi wetu, katika baraza la wakosefu Na wote walia asulibiwe aachwe Baraba na Yesu afe Ee Yesu washika msalaba wako na unakubali kufa juu yake Ee Yesu useme sababu gani, ya nini mateso makali haya? Ni pendo kwa Baba wa uwinguni, ni huruma yangu kwa wakosefu Ee Mkristu mkimbuka mateso yangu, uache makosa uache dhambi. #SautiTamu #Zilipendwa #Kwaresma Pasipo Makosa Mkombozi Yesu Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki Tazama nyimbo nyinginezo za kipindi cha kwaresma katika channel hii kama vile Asilegee Moyowe, Amin Amin Nawaambia, Watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Yesu akalia kwa sauti kubwa, Baba mikononi mwako naiweka roho yangu, Pasipo Makosa, Kwa nini wasimama mbali, nimekukimbilia wewe Bwana, na nyinginezo. These are Catholic Lent songs, holy week songs, Good Friday Songs, Holy Thursday Songs, passion of Christ. Tafuta pia nyimbo nyingine kama Nimekukimbililia wewe, moyo wangu, Baba mikononi mwako, mwanzi uliopondeka, gusaneni majeraha, Yuda akarudi (nchi inazizima), umekosa nini Yesu, lakini hata sasa nirudieni mimi, nihurumie nimekosa, uturehemu ee Bwana, Mungu wangu mbona umeniacha, Mama Pale Msalabani, kwa ajili ya mateso makali, na nyinginezo kukamilisha playlist yako ya Kwaresma na Holy Week