Wimbo 'ASHA BORA' wa Sikinde I Mtunzi asema ilikuwa ni Stori ya kweli
MUZIKI NA WANAMUZIKI
0:00 / 0:00
Wimbo 'ASHA BORA' wa Sikinde I Mtunzi asema ilikuwa ni Stori ya kweli
8 443 просмотра · 5 лет назад
MUZIKI NA WANAMUZIKI
2,08 тыс. подписчиков
8 443 просмотра · 5 лет назад
Mtunzi wa wimbo wa Asha Bora wa Sikinde ngoma ya ukae Julius Mzeru, anasema sababu ya kutunga wimbo Asha Bora ilikuwa ni stori ya kweli iliyomsibu rafiki yake. Baada ya kuongea na rafiki yake na kumsikia akizungumza maneno ya kukerwa na kitendo hicho cha mpenzi wake aliyekuwa akimsifia mpenzi wake wa zamani kila wakati, hapo akaona ni bora atunge wimbo kuhusiana na jambo hilo ili kuifunza na kuielewesha jamii. Mzeru ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Adam Zuberi a.k.a GUGO WA MUZIKI katika mahojiano ya channel ya MUZIKI NA WANAMUZIKI.
MUZIKI NA WANAMUZIKI ni chaneli inayokupa habari za muziki na wanamuziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kwanza subscribe hapa / @muzikinawanamuziki ili usipitwe na habari yoyote tutakayoitundika hapa. Tofauti na chaneli nyingine zinazokupa habari za aina moja tu ya muziki au wanamuziki, MUZIKI NA WANAMUZIKI inakupa habari za muziki wa Kiswahili wa aina tezo na wanamuziki wa aina zote. Kuanzia MUZIKI WA DANSI, Taarab, Bongo Fleva, Singeli na hata ngoma za utamaduni pamoja na habari za wanamuziki wa miziki hiyo. Ndiyo maana tunaitwa MUZIKI NA WANAMUZIKI. Hatuchagui, hatubagui. Ni matumaini yetu kwamba utaburudika na kuelimika vya kutosha. Jisikie huru ku-Subscribe, ku-like na kutoa maoni au maombi yangu. Nasi tunakuahidi kuwa tutasoma kila ujumbe, maoni na maombi ya wote ambayo yatahitajika kujibiwa.
Ili uweze kupata kila habari tunayoiweka hapa pamoja nyingine muhimu, tafadhali tembelea links zetu hizi hapa chini:
MUZIKI NA WANAMUZIKI:
/ @muzikinawanamuziki
Kwa habari zaidi za muziki wa Dansi:
Fresh Jumbe YouTube
/ freshjmw
Adam Zuberi Facebook
https://www.facebook.com/profile.php?...
Fresh Jumbe Facebook
/ akida.mtwana
Website
https://freshjumbe.com/