KILIO CHANGU Part 22
Lutystar
0:00 / 0:00
KILIO CHANGU Part 22
35 999 просмотров · 1 мес. назад
Lutystar
18,6 тыс. подписчиков
35 999 просмотров · 1 мес. назад
KILIO CHANGU Part 22
Nadia anawaambia wazazi wake kuhusu mwanaume anayempenda, lakini tofauti ya dini inafanya mambo kuwa magumu. ❤️
Wakati huo huo, Dorian anamweleza mama yake ukweli kuhusu mtoto wake na Nadia.
Swali ni 1
Je, kila kitu kitaenda kama walivyotarajia? 😳
Je, Nadia atapata ridhaa ya wazazi wake? 😢
Je, Dorian ataweza kuanza maisha mapya?
#storytime #africanstories #cinematicshortfilm #dramastory #emotionalstory #hadithikali #love #simulizizamaisha #storyzamaisha #africanstory