Yuko wapi mama na wanawe wawili baada ya kusafiri Nanyuki?
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Yuko wapi mama na wanawe wawili baada ya kusafiri Nanyuki?
216 459 просмотров · 6 л. назад
Citizen TV Kenya
6,74 млн подписчиков
216 459 просмотров · 6 л. назад
Maafisa wa ujasusi mjini Nanyuki wanaendelea na uchunguzi kuhusu alipo Joyce Syombua na watoto wake wawili, kitendawili kikigubika waliko, siku 18 baada ya kuwasiliana na wapendwa wao. Mashirima Kapombe yuko Nanyuki akifuatia uchunguzi na walikokuwa mara ya mwisho Joyce, wanawe wawili na baba yao meja Peter Mugure.