“MAOMBI YA JUMAPILI | 11 JANUARI 2026 | @loevaministry
LOEVA MINISTRY
0:00 / 0:00
“MAOMBI YA JUMAPILI | 11 JANUARI 2026 | @loevaministry
36 просмотров · 9 мес. назад
LOEVA MINISTRY
6,4 тыс. подписчиков
36 просмотров · 9 мес. назад
Yalikuwa ni moto wa Roho Mtakatifu 🔥
Mkono wa YESU ulionekana wazi ukitenda kazi kwa namna isiyo ya kawaida.
Watu waliguswa, walifarijiwa na wengi wakapokea nguvu mpya ndani ya roho zao.
Ilikuwa ni ibada ya uwepo wa Mungu, siyo ya kawaida bali ya mbinguni.
Tunamshukuru Yesu kwa kile alichofanya na tunajua bado anaendelea kutenda.
Endelea kutufuatilia Loeva Ministry kwa ibada, maombi na ujumbe wa uzima.
Yesu ni Bwana 🙏
#MotoWaRohoMtakatifu #NguvuYaYesu #LoevaMinistry #KuhaniEliahAbelHaule #IbadaYaNeema”**