Faida za Castor Oil/Mafuta ya Nyonyo kwenye ngozi na nywele
Simulizi Na Sauti
0:00 / 0:00
Faida za Castor Oil/Mafuta ya Nyonyo kwenye ngozi na nywele
16 507 просмотров · 3 года назад
Simulizi Na Sauti
1,64 млн подписчиков
16 507 просмотров · 3 года назад
Haya ni mafuta halisi kabisa kutoka @nzallacadooil_store yaliyokamuliwa bila kuhusisha moto yaani COLD PRESSED kitaalamu ni kwamba hayajapoteza kirutubisho chochote kwa ajili ya ngozi na nywele
FAIDA ZAKE
🌰Yanalainisha ngozi na kung'arisha na kutunza unyevu
🌰Yanasaidia kutibu vidonda
🌰yanapunguza uvimbe (rashes)na muwasho kwenye ngozi
🌰Yanazuia na kuitibu chunusi
🌰Yanapigana na fungusi na kutibu mba
🌰Yanachochea ukuaji wa nywele kwa haraka pia huotesha vipara
🌰Yanatumika kufanyia steaming ya nywele
🌰Yanaondoa michirizi na makovu kwenye ngozi
Ziada ya haya yanaweza kutumiwa kama relaxative agent (kulainisha choo)na kusafisha tumbo(detoxification) yakitumika kwa kuliwa
KUYAPATA WASILIANA KWA NAMBA HIZI
☎️0714949805
0655265898
0762545741