Kama hauna furaha jifungie ndani uitafute, acha kusumbua watu wakupe furaha - Deo Sukambi
Simulizi Na Sauti
0:00 / 0:00
Kama hauna furaha jifungie ndani uitafute, acha kusumbua watu wakupe furaha - Deo Sukambi
10 036 просмотров · 3 г. назад
Simulizi Na Sauti
1,65 млн подписчиков
10 036 просмотров · 3 г. назад
Mwanasaikolojia na Mchungaji Deo Sukambi pamoja na Mjasiriamali na Mwanaharakati wa masuala ya Afya ya Akili, Sophia Byanaku waliungana na Marion Elias kuzungumza changamoto ya Afya ya Akili kwenye tukio la Mamas Day Out Beach Party lililofanyika December 9, 2022