Neema Mudosa- Neema (Official Video)
Neema Mudosa
0:00 / 0:00
Neema Mudosa- Neema (Official Video)
152 659 просмотров · 3 года назад
Neema Mudosa
12,7 тыс. подписчиков
152 659 просмотров · 3 года назад
Waefeso 2;8-10;
[8] Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu;
[9] wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
[10 Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.