Перейти к содержимому

JE KUNYONYESHA BAADA YA KUJIFUNGUA INAWEZA KUTUMIKA KAMA NJIA YA UZAZI WA MPANGO?

Kahibi Bernard

0:00 / 0:00

JE KUNYONYESHA BAADA YA KUJIFUNGUA INAWEZA KUTUMIKA KAMA NJIA YA UZAZI WA MPANGO?

1 703 просмотра · 9 мес. назад
Kahibi Bernard
2,5 тыс. подписчиков
1 703 просмотра · 9 мес. назад
Mwanamke akijifungua kwa kawaida huwa anasimama kuona siku za hedhi wakati akiwa ananyonyesha wengine huita kunyonyesha kiume 1.Je Kunyonyesha kunaweza kutumika kama njia ya uzazi wa upango? 2.Je unaweza kubeba mimba ukiwa unanyonyesha kabla ya kuanza kuona hedhi? 3.Kati ya mayai kukomaa na hedhi kipi hutangulia? SIKILIZA HII VIDEO UPATE MAJIBU KWA MASWALI HAYO.