Перейти к содержимому

MSIGWA AMKOSOA KATAMBI KWA KUWAITA WASANII KIKAONi

Zaka Tv

0:00 / 0:00

MSIGWA AMKOSOA KATAMBI KWA KUWAITA WASANII KIKAONi

4 694 просмотра · 1 день назад
Zaka Tv
6,24 тыс. подписчиков
4 694 просмотра · 1 день назад
MSIGWA AMKOSOA KATAMBI KWA KUWAITA WASANII KIKAONi Mbunge mstaafu wa Iringa Mjini na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Peter Msigwa, amekosoa kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Batrobas Katambi, cha kuwaita baadhi ya wasanii na watu mashuhuri katika kikao chake kwa tuhuma za makosa ya kijinai akisema hatua hiyo inakwenda kinyume na sheria. Msigwa amesema anashangazwa na kitendo hicho, hasa kwa kuzingatia kuwa Waziri Katambi ni mwanasheria kitaaluma, akimtaka kujitathmini na kuhakikisha anaongoza kwa kuzingatia misingi ya sheria. Aidha, Msigwa amekosoa hatua ya kuwaziba midomo baadhi ya wasanii, akiwemo Afande Sele, aliyekuwa ametoa maoni yake kuhusu suala hilo,.