Перейти к содержимому

✈️ TASHRIFF LUXURY YUTONG D14 YAWASILI TANZANIA 🇹🇿 | UBORA WA NDEGE KWENYE BARABARA 🚍🔥

SafariCoachTZ

0:00 / 0:00

✈️ TASHRIFF LUXURY YUTONG D14 YAWASILI TANZANIA 🇹🇿 | UBORA WA NDEGE KWENYE BARABARA 🚍🔥

8 277 просмотров · 11 месяцев назад
SafariCoachTZ
1,17 тыс. подписчиков
8 277 просмотров · 11 месяцев назад
Siku imefika jamani! 😍 TASHRIFF LUXURY COACH ametimiza ahadi yake — ndege ya ardhini YUTONG D14 imewasili rasmi 🇹🇿✨ Ubora huu sio wa kawaida! Ndani kuna sofa seat laini, TV binafsi, AC ya kisasa na huduma bora kutoka Dar–Tanga kila siku kwa nauli ya 22,000 tu! 🚍 Huu ni mwanzo mpya wa usafiri Tanzania — Luxury on Wheels! Tazama ubora, jifunze, na usisahau kusubscribe kwa #SafariCoachTZ kwa video zaidi za mabasi bora Afrika Mashariki 🌍 📍 Safari: Dar es Salaam ↔ Tanga 💰 Nauli: 22,000/= ☎️ Mawasiliano: +255621 341 819 👇 Tuambie maoni yako: Je, basi hili la YUTONG D14 ndilo bora zaidi ulilowahi kuona? --- #TashriffLuxury #YutongD14 #SafariCoachTZ #LuxuryBusTanzania #TravelVibes