Перейти к содержимому

WELCOME TO OUR FIRST SERVICE [RAISE YOU SPIRIT TO THE LORD]

REHOBOTH CHRISTIAN CENTER

0:00 / 0:00

WELCOME TO OUR FIRST SERVICE [RAISE YOU SPIRIT TO THE LORD]

9 просмотров · 1 г. назад
REHOBOTH CHRISTIAN CENTER
366 подписчиков
9 просмотров · 1 г. назад
MCH: CHRISTIAN KUBENA SOMO: MAOMBI YA SIKU TATU MAANDIKO Mathayo 6:9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo chakula chetu cha kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea. Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’ [ Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.] Yeremia 1:4 Mwenyezi-Mungu aliniambia neno lake: “Kabla hujachukuliwa mimba, mimi nilikujua, kabla hujazaliwa, mimi nilikuweka wakfu; nilikuteua uwe nabii kwa mataifa.” Nami nikajibu, Aa! Bwana Mwenyezi-Mungu, mimi sijui kusema, kwa kuwa bado ningali kijana. Lakini Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Usiseme kwamba wewe ni kijana bado. Utakwenda kwa watu wote nitakaokutuma kwao, na yote nitakayokuamuru utayasema. Wewe usiwaogope watu hao, kwa maana niko pamoja nawe kukulinda. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Kisha Mwenyezi-Mungu akaunyosha mkono wake, akagusa kinywa changu, akaniambia, “Tazama nimeyatia maneno yangu kinywani mwako. 1 PETRO 1:4 tupate na urithi usioharibika, usio na uchafu, usionyauka uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu ZABURI 16:6 Umenipimia sehemu nzuri sana; naam, urithi wangu ni wa kupendeza. HESABU 6:23:27 23. “Mwambie Aroni na wanawe kwamba hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli: Mtawaambia, 24. ‘Mwenyezi-Mungu awabariki na kuwalinda; 25. Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili; 26. Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’ 27. “Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabarik ZABURI 65:2 Wewe usikiaye maombi, Wote wenye mwili watakujia. KUTOKA 33:18 Akasema, Nakusihi unioneshe utukufu wako. YEREMIA 29:13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote